sw_tn/2co/04/07.md

1.2 KiB

Lakini tuna

Hapa neno "tuna" lina maanisha Paulo na watenda kazi pamoja naye, lakini siyo kwa Wakorintho.

tuna hazina hii katika vyombo vya udongo

Paulo anazungumzia injili ilivyokua kama hazina na miili yao ilivyokuwa kama chupa za udongo zinazoweza kuvunjika. Hii inasisitiza kuwa wana thamani ndogo ukilinganisha na thamani ya injili ambayo wanaihubiri.

ili kwamba ieleweke

" ya kwamba iko dhahiri kwa watu" au "ya kwamba watu wanatambua wazi wazi"

Tunataabika katika kila hali

Hiki kinaweza kuelezwa katika kauli tendaji. "Watu hututaabisha kwa njia mbali mbali"

Tunateswa lakini hatujatelekezwa

. " Watu hututesa lakini Mungu hajatutelelkeza"

Twatupwa chini lakini hatuangamizwi

hututupa chini lakini hawatuangamizi"

Twatupwa chini

"twaumizwa vibaya"

iku zote tunabeba katika mwili wetu kifo cha Yesu

Paulo anazungumza juu ya mateso yake kuwa kama vile ni uzoefu wa kifo cha Yesu Kristo.

uzima wa Yesu uonekane pia katika miili yetu.

Maana zaweza kuwa "miili yetu itaishi tena, kwa sababu Yesu yu hai au " maisha ya kiroho ambaye Yesu hutoa pia yaonekane katika miili yetu."

uzima wa Yesu uonekane pia katika miili yetu.

Yaweza kueleza katika kauli tendaji " watu wengine wanaweza kuyaona maisha ya Yesu katika miili yetu"