sw_tn/2co/04/03.md

1.1 KiB

Lakini kama injili yetu imefichika, imefichika kwa wale tu wanaoangamia

Hiki marejeo ya nyuma 3:14 mahali ambapo Paulo anaeleza kuwa kuna utaji wa kiroho amabao unawazuia watu wasielewe wakati wanaposoma agano la kale. Kwa njia hiyo, watu hawawezi kuifahamu injili.

Ikiwa injili yetu imetiwa utaji, imetiwa utaji

Hii inaweza kuelezwa katika muundo wa utendaji" ikiwa utaji unaifunika injili yetu, utaji huo huifunika"

Injili yetu

"Injili ambayo tunaihubiri"

mungu wa ulimwengu huu amewapofusha fahamu zao zisizoamini.

Paulo anazungumza juu ya mioyo yao ikiwa kama mioyo yao haiwezi kuona "mungu wa ulimwengu amewazuia wasioamini kuelewa"

mungu wa ulimwengu huu

"mungu anayetwala dunia," Tungo hii ina maanisha shetani.

hawawezi kuona nuru ya injili ya utukufu wa Kristo

Kama vile waisraeli walivyoshindwa kuuona utukufu wa Mungu uliong'ara juu ya uso wa Musa kwa sababu aliufunika kwa utaji.Wasio amini hawawezi kuuona utukufu wa Kristo unao ng'ara katika injili.

nuru ya injili

"nuru ambayo inakuja kutoka katika injili"

injili ya utukufu wa Kristo

"injili inayohusu utukufu wa Kristo"