sw_tn/2co/03/09.md

1.1 KiB

kazi ya hukumu

"Kaziya hukumu ."Hii inarejea kwenye sheria ya Agano la Kale.

ni mara ngapi zaidi huduma ya haki huzidi sana katika utukufu!

Hapa neno "jinsi gani" linaonyesha tungo hii kama mshangao, siyo kama vile swali.

huduma ya uadilifu huzidi sana katika utukufu

Paulo anazungumza juu ya "huduma ya haki" kama ilivyokuwa taswira ammbayo ingeweza kutoa au kuongeza taswira nyingine. Anamaanisha kuwa " huduma ya uadilifu" ni ya utukufu zaidi kuliko sheria , ambayopia ilikuwa na utukufu.

huduma ya uadilifu

"huduma ya uadilifu" Inarejea kwenye agano jipya , ambalo paulo ni mtumishi wake.

kile kilichofanywa utukufu kwanza hakina utukufu tena katika heshima hii, kwa sababu ya utukufu unaozidi.

Sheria ya Agano la Kale haionekani tena kutukuzwa inapolinganishwa na Agano jipya, ambalo lina utukufu zaidi.

kile kilichofanywa utukufu kwanza

"kile kinachoweza kutafsiriwa katika kauli tendaji" "sheria ambayo Mungu aliifanya utukufu"

katika heshima hii

"kwa njia hii"

kile ambacho kilikuwa kinapita

IHii inamaanisha "huduma ya hukumu" ambayo Paulo anazungumza juu yake iliyokuwa kama taswira yenye uwezo wa kutoonekana.