sw_tn/2co/03/07.md

1.0 KiB

Sentensi Unganishi

Paulo anatofautisha utukufu unaofifia wa patano la kale na ubora na uhuru wa patano jipya. Anatofautisha utando wa Musa na ubayana wa ufunuo wa sasa. Wakati wa Musa haukuwa picha ya wazi ya kile ambacho asa kimewekwa wazi.

Sasa huduma ambayo imeleta kifo ...ilikuja katika utukufu kama huo

Paulo anasisitiza kwamba ingawa sheria hupelekea huongoza katika kifo, Bado ilikujwa na ya utukufu mwingi.

huduma ambayo ilileta kifo

"huduma ambayo imesababisha kifo ka sababu imejikita juu ya sheria"

imechora katika barua juu ya mawe

"kwamba Mungu ameichonga kwenye mawe pamoja na barua"

Katika utukufu huo

"katika utukufu mwingi"

Hii ni kwa sababu

"wasingeweza kutazama kwa sababu"

ni kwa kiwango gani utukufu mwingi utakuwa huduma ambayo Roho huifanya?

Paulo anatumia swali hili kusisitiza kuwa "huduma ambayo Roho huitenda" ni lazima iwe ya utukufu kuliko "huduma ambayo ilitolewa" kwa sababu huongoza katika uzima "

huduma ambayo Roho huitenda

"huduma ya Roho." Hii inaelezea patano jipya, ambalo Paulo ni mtumishi wake.