sw_tn/2co/01/03.md

20 lines
686 B
Markdown

# Mungu na baba wa Bwana wetu Yesu Kristo atukuzwe
Hii inaweza kusemwa katika hali tendaji. Tumtukuze Mungu na baba wa Bwana wetu Yesu Kristo daima"
# Mungu na Baba
"Mungu, ambaye ni Baba"
# Baba wa rehema na Mungu wa faraja yote
Tungo hizi mbili zinaelezea wazo linalofanana katika njia mbili tofauti. Kwa pamoja tungo zinamwelezea Mungu.
# Baba wa rehema na Mungu wa rehema na Mungu wa faraja yote
Maana zake zaweza kuwa 1) maneno "rehema" "faraja yote" yanaelezea tabia ya "Baba" na "Mungu" au 2) kwamba maneno "Baba" na "Mungu" yanamwelezea mmoja aliye asili ya "rehema" na "faraja yote."
# hutufariji katika mateso yote
Hapa "sisi" na "yetu" hujumlisha Wakorintho.