sw_tn/2ch/36/13.md

292 B

Aliishupaza shingo yake na kuufanya moyo wake mgumu.

Haya ni maneno mawili yanayotoa namna mbili za kuutaja usumbufu au ugumu wa moyo wa mtu. Kwa pamoja yanasisitiza uasi wa Sedekia dhidi ya Mungu.

Waliigoshi nyumba ya Yahwe.

"Walikitia unajisi kile ambacho kilipaswa kuwa kitakatifu"