sw_tn/2ch/36/08.md

259 B

Mambo mabaya ambayo aliyafanaya.

Kwa kawaida hii ina maana aya kuabudu miungu ya uongo, ambayo Yahwe aliichukia.

Yaliyopatikana dhidi yake.

Hii inaweza kuwa inataja au kuelezea tabia yake

Kitabu cha wafalme wa Yuda na Israeli.

Angalia suya ya 35:2