|
# Akafanya ambayo yalikuwa maovu katika macho ya Yahwe.
|
|
|
|
Angalia sura ya 21:6
|
|
|
|
# Akamvamia.
|
|
|
|
Nebukadreza aliuvamia Yerusalemu.
|
|
|
|
# Nebukadreza pia akpeleka baadhi ya vitu.
|
|
|
|
Watumishi wa Nebukadreza walichukua vitu katika nyumba ya Yahwe na kuvipeleka Babeli.
|