sw_tn/2ch/36/03.md

262 B

Taarifa za jumla

Eliakimu alikuwa ndugu wa mfalme wa Misri na ndiye alifanywa kuwa mfalme wa Yuda.

Talanta.

Fedha ya zamani (talanta moja ilikuwa sawa na vito vya thamani vyenye uzito upatao kilo 33.

Kumpeleka Misri.

"Akampeleka Misiri kama mfungwa".