sw_tn/2ch/35/07.md

293 B

Taarifa za jumla:

Yosia ni jina la mwanaume aliyekuwa mfalme. Majina mengine katika kifungu hiki ya wanaume mbali mbali ambao walikuwa viongozi au wasimamizi katika nyumba ya Yahwe, pia kuna majina ya watu wengine kama makuhani kutoka kabila la Lawi.

Wanambuzi.

Huyu ni mtoto wa mbuzi.