sw_tn/2ch/35/05.md

441 B

Simameni katika sehemu takatifu.

Hapa "sehemu takatifu" zinaonekana kutaja maeneo mbali mbali ya hekalu. "kaeni katika zamu zenu katika hekalu"

Zamu zenu.

Hii inataja kundi la kazi lililopangwa kwa kila Mlawi.

Nyumba za mababu.

Hizi ni koo mbali mbali miongoni mwa Walawi. Inaonekana kwamba Walawi walikuwa wamepangiwa makundi ya kazi mbali mbali kwa kuzingatia aina ya kazi iliyokuwa imepangwa kwa kila ukoo au nyumba ya mababu.