sw_tn/2ch/35/03.md

218 B

Ambayo Selemani mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli aliijenga.

"Watu waliijenga nyumba hiyo chini ya uongozi wa Mfalme wa Selemani"

Kwa majina ya nyumba za mababu zenu na zamu zenu.

"Kabila zenu na familia zenu"