sw_tn/2ch/35/01.md

266 B

Siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.

Huu ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Mwezi wa kumi na nne uko karibu ya ya mwanzo wa mwezi Apirl katika kalenda ya maghari.

Akawaweka makuhani katika nafasi zao.

"Aliwaambia makuhani kuhusu kazi za kufanya".