sw_tn/2ch/34/23.md

411 B

Ili kwamba waniweke katika hasira kwa matendo yao waliyofanya.

"Matokeo yake ni kwamba wamenifanya nikasirike sana kwa sababu ya yale waliyofanya"

Kwa hiyo hasira yangu itamiminwa ajuu ya hii sehemu ,na haitazimishwa.

Aina hii ya hisia kama hasira mara zote katika maandiko huzungumzwa kama vile kimiminika; "kwa hiyo itakuwa kama moto unaomiminwa juu yao, na hakuna kitu kitakachoweza kuuzima moto huu"