sw_tn/2ch/34/12.md

317 B

Taarifa za jumla.

Haya ni majina ya watu kutoka koo mbali mbali za Kilawi.

Walawi hawa walikuwa viongozi wa wale waliobeba vifaa vya ujenzi na watu wengine wote waliofanya kazi kwa namna yoyote ile.

"Walawi hawa walikuwa wasimamizi au viongozi wa wanaume wote waliokuwa wakifanya aina zote za kazi za ujenzi."