sw_tn/2ch/32/13.md

641 B

Je, hamjui mimi na babu zangu tulifanya nini kwa makundi ya watu wote wa nchi zingine?

"Mnajua vyema sana."

Je, miungu ya watu wa nchi hizo iliweza kwa njia yoyote iliweza kuziokoa nchi zao dhidi ya nguvu zangu?

"Miungu ya makundi ya watu wa nchi hizo kamwe haikuweza kuwaokoa watu wake dhidi ya nguvu zangu!"

Miongni mwa nchi hizo zote, je kulikuwa na miungu iliyoweza kuwaokoa watu wake kutoka kwenye mkono wangu?

"Hapakuwa na muungu kati ya miungo yote ambaye aliweza kuwaokoa!"

Itakuwaje Mungu wenu ninyi aweze kuwaokoa ninyi dhidi ya nguvu zangu?

"Hakuna sababu ya Mungu wenu kuweza kuwaokoa ninyi dhidi ya mkono wangu!"