sw_tn/2ch/32/02.md

364 B

Kuyazuia maji ya chemi chemi yaliyokuwa nje ya mji.

Walizifunga chemi chemi amabazo zilikuwa nje ya mji ili kwamba watu wasipate maji.

Kwa nini mfalme wa Ashuru aje na kupata maji mengi?

Mfalme wa Ashuru hapaswi kuja na kukuta mengi. Wakalimani wanaweza kusema "mfalme wa Ashuru", kwa sababu hakuna kifunga cha kurejea na kupa masaada wa taarifa za mfalme.