sw_tn/2ch/31/06.md

463 B

Mwezi wa tatu.

Huu ni mwezi wa tatu wa kalenda ya Kiebrania.Iko mwisho wa msimu wa mavuno na mwanzo wa msimu wa kiangazi.Ni mwisho wa mwezi wa tano na mwanzo wa mwezi Juni katika kalenda ya Magharibi.

Mwezi wa Saba.

Huu ni mwezi wa saba katika kalenda ya Kiebrania. Hiki ni kipindi cha msimu wa mvua za amwanzo, ambayo ilikuwa ikiilainisha nchi kwa ajili ya kupanda mazao. Ni mwishoni mwa mwezi Septemba na mwanzoni mwa Octoba katika kalenda ya Magharibi.