sw_tn/2ch/31/02.md

408 B

Pia akawapanga katika sehemu ya mfalme kwa ajili ya sadaka kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa kutoka katika mali zake.

Hezekia alichukua chalakua nyama na nafaka zilizokuwa zinatumika kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa kutoka mali zake mwenyewe.

Mwezi mpya.

Hii ilikuwa sikukuu ambayo ilienda pamoja na hatua za mwezi.

Sikukuu zisizobadilika.

Hizi ni sikukuu ambazo hutokea katika tarehe maalumu.