sw_tn/2ch/30/01.md

437 B

Wakakubaliana kusherehekea Pasaka katika mwezi wa Pili.

Kwa kawaida Waisraeli walisherehekea Pasaka katika mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Mwezi wa kwanza uko kati kati ya mwezi Machi na nusu ya kwanza ya mwezi Apirl Hii ni kwa mjibu wa kalenda ya magharibi.

Mwezi wa pili

Huu ni mwezi wa pili wa kalenda ya Kiebrania. Uko kati ya nusu ya pili ya mwezi Aprili na nusu ya kwanza ya mwezi Mei katika kalenda ya Magharibi.