sw_tn/2ch/26/06.md

220 B

Yabne.

Huu ulikuwa mji mmoja huko kaskazini mwa Yuda.

Gurbaali.

Huu ulikuwa mji mmoja huko Uarabuni.

Waamoni.

Huu ni ufalme wa watau wa Amoni karibu na Mlima Seiri.

Maingilio ya Misiri.

"Mipaka ya Misiri"