sw_tn/2ch/24/15.md

614 B

Akafa, kufa

Neno hili hutumika kumaanisha aina zote za vifo, yaani kifo cha kimwili na kifo cha kiroho. Kimwili, humaanisha kukoma kuisha katika mwili wa mtu. Kiroho humaanisha kitendo cha watu wennye dhambi kutengwa na Mungu mtakatifu kwa sababu ya dhambi zao.

Wakamzika, mazishi

Neno "zika" lina maaana ya kuweka mwili uliokufa katika shimo au sehemu ya kuzikia. na neno mazishi lina maana ya kitendo cha kuzika kitu fulani.

Mji wa Daudi.

Neno "mji wa Daudi" ni jina jingine la Yerusalemu na Bethelehemu. Yerusalemu ndiko alikoishi Daudi wakati akitawala Israeli. Bethelehemu ndiko alikozaliwa Daudi.