sw_tn/2ch/23/01.md

187 B

Yehoyada.

HUyu ni kuhani mkuu aliyehudumu katika hekalu na kwa uaminifu kwa Mungu. Alikuwa mshauri wa Yoashi.

Obedi...Maaseya...Adaya...Elishafati...Zikri.

Haya ni majina ya Kiume