sw_tn/2ch/21/18.md

275 B

Yahwe akampiga katika utumbo wake kwa ugonjwa usiopona.

"Alimpiga ugonjwa usiotibika katika utumbo wake.".

Wakati ulipofika.

"Katika wakati sahihi" au "wakati sahihi ulipowadia".

Hawakutengeneza moto kwa ajili ya heshima yake.

"Hawakumheshimu kwa kwa moto mkubwa"