sw_tn/2ch/21/08.md

272 B

Katika siku za Yehoramu.

"Katika kipindi amacho Yehoramu alipokuwa mfalme."

Wakaasi wasiwe chini ya Yuda.

"Kinyume na mamlaka ya Yuda."

Akavuka ng'ambo.

"Akavuka mipaka kuingia Edomu."

Mpaka leo.

Angalia sura ya 5:9

Libna.

Huu ulikuwa mji katika Yuda.