sw_tn/2ch/20/24.md

254 B

Tazama, walikuwa wamekufa.

Hiki kilikuwa kitu cha kusitusha. Adui zao wote walikuwa wameuana wao kwa wao.

Walikuwa wamekufa, wameanguka chini.

Kirai "wameanguka chini" ni namna ya kusema kwamba "walikuwa wamekufa."wote walikuwa wamekufa ardhini."