sw_tn/2ch/18/31.md

269 B

Yule ni mfalme wa Israeli.

Yehoshafati kwa bahati mbaya walimfananishwa na mfalme wa Israeli kwa sababu Ahabu alikuwa amesistiza kwamba mfalme huyo anakawaida ya kuvaa kifalme.

Mungu akawageuza nyuma kutoka kwake.

"Mungu aliwasababisha wasiendelee kumwelekea"