sw_tn/2ch/17/10.md

4 lines
176 B
Markdown

# Hofu ya Yahwe ikashuka juu ya falme zote za nchi.
"Watu katika falme zote za karibu na Yuda wakaogopa sana kwa sababu ya kile ambacho Yahwe angeweza kufanya ili kuwaadhibu.