sw_tn/2ch/17/01.md

215 B

Akajiimarisha dhidi ya Israeli

Wazo la "kujiimarisha mwenyewe" jeshi la mfalme. Alilitayarisha jeshi likawa tayari kwa ajili ya kupigana vita na Israeli.

Magereza.

Hizi ni kambi za jeshi kwa ajili ya ulinzi.