sw_tn/2ch/16/13.md

486 B

Asa akalala pamoja na babu zake

Hii ina maana kwamba "Asa alikufa".

Kitanda

Kitanda hiki ni mfano wa meza ambayo juu yake mwili wa marehemu huwekwa juu yake wakati wa mazishi.

Manukato na aina mbali mbali ya dawa zilizotayarishwa na wale mafundi wa manukato

Kuweka mmea ambao hunukia vizuri kwenye mwili wa marehemu ilikuws mojawapo ya taratibu za mazishi kwa watu wa Isareli. "Mimea ya manukato ya kunukia yalitengenezwa na mtu aliyekuwa na ujuzi katika mambo ya utamaduni.