sw_tn/2ch/13/13.md

341 B

Mavamizi nyuma yao.

Yeroboamu alijipanga na kufanya mavamizi ya kushtukiza nyuma ya jeshi laYuda

Mavamizi yalikuwa nyuma yao.

Mavamizi ya ghafla au kushtukiza yalikuwa nyuma ya jeshi la Yuda.

Wakamlilia Yahwe.

Walimwita Yahwe kwa sauti kubwa sana.

Ikawa kwamba Mungu akampiga.

Mungu alimuacha Yeroboamu akapigwa na adui zake.