sw_tn/2ch/13/12.md

129 B

Msipigane na Yahwe.

Hii ni lugha ya picha inayowataka wahusika hawa wasiende kinyume na mapenzi ya Yahwe (msipigane na Yahwe)