sw_tn/2ch/13/08.md

548 B

Ndama wa dhahabu ambao Yeroboamu alitengeneza kama miungu.

Hii ina maana ya miungu aliyotengeneza Yeroboamu.

Hamkuwafukuza...Walawi?

"Mmewafukuza Walawi"

Hamkujifanyia makuhani katika namna ya watu wa nchi zingine.

"Mmejifanyia makuhani kama vile wajifanyiavyo watu wa nch zingine.

Yeyote ajaye kujitakasa mwenyewe na ngo'mbe dume kijana, na madume ya kondoo anaweza kuwa kuhani wa kile ambacho siyo. miungu.

"Yeyote atoaye ng'ombe dume na madume saba ya kondoo anaweza kuwa kuhani wa sanamu tu ambazo hazina hadhi ya kuitwa miungu"