sw_tn/2ch/11/13.md

211 B

Makuhani na walawi waliokuwa katika Israeli yote wakaenda kwake

"Makuhani na Walawi wakatoka Israeli, ufalme wa Kaskazini ili waende Yuda".

Nchi za malisho

Nchi zilizokuwa kwa ajili ya kuchungia wanyama.