sw_tn/2ch/09/17.md

206 B

Pembe.

Hii ilikuwa kazi nyingine ya pembe ya mnyama kama tembo au faru.

Na sehemu ya juu ya kiti cha enzi ilikuwa duara

"Sehemu ya juu nyuma ya kiti cha enzi ambapo mfalme aliketi ilikuwa ya duara".