sw_tn/2ch/09/15.md

557 B

Shekeli mia sita za dhahabu zilitumika kwa kila ngao.

"Zilitengenezwa kwa shekeli mia sita za dhahabu".

Shekeli...minas

Shekeli na mina ni mojawapo ya vipimo ambavyo watu wa zamani hasa nyakati za Agano la Kale walitumia kwa sababu hawakuwa na vipimo vya kisa kama vile kilo, mita nk. Shekeli 1 ilikuwa sawa na graamu 1, na mina au shekeli 50 ilikuwa sawa na kilo 0.57.

Ikulu ya Mstu wa Lebanon.

Hii ilikuwa kama sehemu ya kuhifadhia iliyotengenezwa kwa mbao nyingi kubwa kutoka Lebanoni, ilikuwa karibu na ikulu. Kwa jina jingine iliitwa Amori.