sw_tn/2ch/08/12.md

188 B

Ukumbi.

Huu ni ukumbi uliofunikwa au njia ya kuingilia ulioshikiliwa na nguzo kwenye jengo.

Kwa kufuata maelekezo yaliyokuwa katika amri

Kwa mujibu wa maagizo ya ya sheria ya Musa.