sw_tn/2ch/08/07.md

201 B

Ambao waliachwa baada yao katika nchi

"Ambao walisalia katika nchi"

Akawafanyisha kazi kwa nguvu.

Akawafanya watumwa.

Hata leo.

Hii inataja wakati ambapo kitabu cha 2 Nyakati kilipoandikwa.