sw_tn/2ch/05/02.md

217 B

Katika sikukuu, aambayo ilikuwa katika wa saba.

Hii ni sikukuu ya makazi ambayo iko katika siku ya kumi na tano ya mwezi wa saba katika kalenda ya Kiebrania. Hiki ni kipindi cha Oktoba katika kalenda ya Magharibi.