sw_tn/2ch/04/14.md

251 B

Mabirika.

"Mabakuli".

Bahari mpoja.

Hili ni kontena kubwa la kuogea lililopambwa.

Vyombo vingine.

Vifaa vingine au vitu vilivyotumika madhabahuni

Shaba iliyong'arishwa.

Shaba aambayo wafanyakazi waliing'arisha ili iweze kuakisi mwanga.