sw_tn/2ch/03/06.md

198 B

Vito vya thamani.

Vito ambavyo vilikuwa vizuri, vyenye thamani kubwa, na vitumika kwa ajili ya kupambia.

Parvaimu.

Istilahi ya jumla kwa ajili ya neno mashariki. (Tazama: tafsiri ya majina).