sw_tn/2ch/02/08.md

326 B

Miti ya msandali.

Hii ilikuwa aina ya mti uliopendwa kwa kutengenezea vyombo vya muziki au michoro.

Kori

Hiki ni kipimo cha ujazo cha zamani (kori moja ni sawa na lita 220 za ujazo)

Ngano ya ardhini

Haya ni maua ya ngano.

Bathi.

Hiki pia ni kipimo cha ujazo cha zamani (Bathi moja ni sawa na lita 22 za ujazo),