sw_tn/2ch/02/04.md

314 B

mkate wa uwepo

Hii inataja vipande 12 vya mkate ambavyo viliw ekwa mbele ya madhabahu.

mwezi mpya

Hiki kilikuwa ni kipindi cha sikuku zilizofanyika kwa kuzingatia hatua maalumu za mzunguko wa mwezi.

Mungu ni mkuu

Hii inamtaja Mungu kuwa muhimu zaidi, siyo kwamba ana umbo kubwa kuliko miungu mingine .