sw_tn/2ch/01/02.md

12 lines
180 B
Markdown

# Kiriathi Jearimu
Mji mdogo ulioko kama maili moja magharibi mwa Yerusalemu.
# Aliandaa hema
"Simamisha hema"
# Bezaleli mwana wa Uri mwana wa Huri.
Haya ni majina ya kiume.