sw_tn/1ti/03/11.md

32 lines
877 B
Markdown

# Wanawake vivyo hivyo
Hapa "wanawake"inaweza kutumiwa kama wanawake kwa ujumla, lakini inaonekana inabainisha mashemasi,wake au mashemasi wanawake.Kwenye :"wake vilevile wana mahitaji"au"mashemasi wa kike,pana mahitaji kama mashemasi"
# Wawe wakamilifu
"kufanya vizuri"
# Wasiwe wasingiziaji
"Ni lazima wasiongee uovu kuhusu watu wengine"
# Kiasi
"Wasifanye chochote kwa ziada"
# Mume wa mke mmoja
Mtu lazima awe na mke mmoja tu. Siyo sahihi ikiwa hii inajumuisha watu ambao hapo nyuma walikuwa wagane, wamepeana talaka, au hawakuwahi kuoa.
# Kutawala vizuri watoto wake na wa nyumbani mwake.
Kutunza na kuongoza vizuri watoto wake na wengine wanaoishi kwenye nyumba yake.
# Kwa wote
"Kwa mashemasi wote "au "kwa maaskofu wote. Mashemasi, na mashemasi wa kike"au "kwa viongozi wa makanisa haya"
# Wamepata peke yao
"kupokea peke yao "au" kuongezeka peke yao"