sw_tn/1ti/01/18.md

20 lines
823 B
Markdown

# Nimeweka amri hii mbele yenu
"Amri hii naitoa kwenu" au "Amri hii naiweka kwenu"
# mtoto wangu
Hili ni neno la ujumla sana kuliko "mwana" au "binti", lakini bado bado linaonesha uhusiano na baba. Paulo antumia hii kama sitiari kwaajili ya upendo wake kwa Timotheo.
# shiriki katika mashindano mazuri
"shiriki katika mashindano ambayo yanafaidisha juhudi" au "jitahidi kuwashinda maadui" Hii ni sitiari ambayo inamaanisha "fanya juhudi kwaajili ya Bwana" (UDB)
# amepiga miamba/mawimbi kwa heshima ya imani
Paulo anatumia sitiari nyingine kulinganisha hali ya imani yao na meli ambayo imezama kwenye mwamba. Sitiari hii inamaanisha "kilichotokea kwenye imani zao ambacho ni maafa" (UDB). Utumie hii au sitiari inayofanana kama itaeleweka kwa lugha yako.
# wanaweza kufundishwa
"kwamba Mungu anaweza kuwafundisha"