sw_tn/1sa/31/01.md

482 B

Basi Wafilisti wakapigana dhidi ya Waisraeli.

Vita hivi ni matokeo ya ugonvi kati ya Daudi na wafilisti katika sura ya 29:10.

Wafilisti wakapigana dhidi ya Waisraeli

"Wafilisti wakapigana dhidi ya watu wa Israeli"

mlima wa Gilboa

Hili ni jina la mlima.

wakamwandama Sauli na wanawe kwa karibu

"walimfukuza Sauli na watoto wake watatu"

Abinadabu, and Malkishua

Haya ni majina ya wanaume.

Vita vikamwelemea Sauli

"jeshi la Sauli likaanza kushindwa katika vita"