sw_tn/1sa/30/29.md

233 B

Taarifa ya jumla:

Mwandishi anamalizia majina ya miji ambayo wazee wake walipewa zawadi na Daudi.

Rakali ... Horma ... Borashani ... Athaki

Haya ni majina ya miji.

Wayerameeli ... Wakeni

Haya ni majina ya makundi ya watu.