sw_tn/1sa/30/03.md

280 B

wake zao ... watoto wa kiume ... na watoto wa kike

Waliokuwa wanamuhusu Daudi na watu wake

umechomwa moto, na wake zao... binti zao walichukuliwa mateka

"waliwaona watu wakichoma moto na kuchukua wake zao ... mateka"

watu aliokuwa nao

Hawa walikuwa watu wa jeshi lake.