sw_tn/1sa/29/05.md

287 B

Je, huyu siye Daudi ambaye walimuimba kwa kupokezana na kucheza, wakisema, 'Sauli ... makumi elfu'?

Hii yaweza kutafsiriwa kama "hupaswi kumuamini Daudi - yeye ndiye wanayemuimba kwa kupokezana na kucheza, wakisema 'Sauli ... makumi elfu'!

elfu ... makumi elfu

"1,000 ... 10,000"